Select Page
... siku
... Hrs
... dakika
... Sek
Matokeo ya droo za hivi karibuni
  • MegaMillions
    inafunga...
  • Powerball US
    inafunga...
  • Powerball AU
    inafunga...
  • Lotto UK
    inafunga...
  • Lotto America
    inafunga...
  • El-Gordo-Primitiva
    inafunga...
  • EuroJackpot
    inafunga...
  • EuroMillions
    inafunga...
  • Lotto Fr
    inafunga...
  • Lotto-6aus49
    inafunga...
  • La-Primitiva
    inafunga...
  • Megasena
    inafunga...
  • Sat-Lotto-AU
    inafunga...
  • Set-For-Life
    inafunga...
  • Superenalotto
    inafunga...
  • Thunderball
    inafunga...

Karibu OnlineLotto365!

Mpaka hivi karibuni, sisi mashabiki wa bahatinasibu tulikuwa hatuwezi kucheza ya bahatinasibu ya nje ya nchi yetu. Tulikuwa tukisikia kuhusu michezo ya bahatinasibu mikubwa huko nje, kukiwa na mamilioni ya dolla au Euro au pesa zingine kubwa, na tulitamani tungekuwa tukiishi maeneo ambayo ingewezekana kununua tiketi za michezo hii mikubwa ya bahatinasibu.

Ninajua kama ilivyo kwangu wewe pia umetamani kushiriki jambo hili kubwa mara nyingi. Lakini haikuwahi kuwezekana kucheza, wala kushinda.
Mega Millions
Lakini, hilo linaelekea kubadilika. Sasa, kwa kutumia huduma yetu mpya ya tiketi za bahatinasibu mtandaoni, hakuna tofauti ikiwa unaishi nchi ambayo mchezo wa bahatinasibu unachezeshwa au la.

Sasa nunua tiketi za bahatinasibu mtandaoni

Sasa sio kama zama za kale, na kama tunavyojua, intaneti imefungua dunia yote na kila kitu sasa kinapatikana mtandaoni. Hivyo ni kwanini usiweze kushiriki kwenye michezo ya bahatinasibu mikubwa ya nje? Ni wazo ambalo muda wake hakika umefika, hakuna kusubiri tena.

Tumefanya zoezi la kupata tiketi mtandaoni kuwa rahisi kadri iwezekanavyo. Unachotakiwa kufanya ni kuibonyeza tu michezo ya bahatinasibu, ili kuweza kushiriki katika michezo ya bahatinasibu mikubwa. Kisha unachotakiwa kufanya ni kufuata maelekezo rahisi ambayo utapewa, chagua namba zako, na kununua tiketi yako.

Usalama kwenye malipo ya bahatinasibu mtandaoni

Huduma hii bora inakupa nafasi ya kuchagua njia ya malipo ya mtandaoni inayokufaa kwa kupitia wasimamizi waliobobea na wenye usalama wa 100%. Punde tu baada ya kufanya malipo ya tiketi yako, watakutumia barua pepe ya uthibitisho kwako na utaona tiketi yako katika akaunti yako ya mteja. Sisi pia tutakupatia msaada katika kukusanya ushindi wako, jambo ambalo utalihitaji kwa kuwa hauishi ndani ya nchi ambayo bahatinasibu inachezeshwa. Hakuna haja ya sisi kuhofia chochote kwa sababu tunasimamia kila kitu kwa ajili ya wateja wetu.

Michezo ya bahatinasibu inavyozidi kuwa mikubwa, ndivyo nafasi yako kushinda nayo inakuwa kubwa

huduma za michezo ya bahatinasibu mtandaoni
Sio siri kwamba thamani ya kucheza michezo ya bahatinasibu inaongezeka pale kitita cha pesa kinapoongezeka pia. Hivyo kama umekwama ukisubiri zawadi ya bahatinasibu kubwa nchini izidi kuongezeka, utasubiri sana. Sawa, kuna raha yake kucheza katika bahatinasibu ndogondogo, lakini ni hali ya kipekee kucheza bahatinasibu kubwa mtandaoni. Sio tu kwamba ni raha kufikiria unayoweza kufanya utakapopata ushindi wa moja ya zawadi kubwa hizo ambazo tunaziona wengine wakizipata, lakini pia una nafasi kubwa zaidi ya kushinda zawadi kubwa pia.

Sasa unaweza kushiriki bahatinasibu zote kubwa za nje, ikiwemo U.S. Powerball na Mega Millions, Spain’s El Gordo, Italy’s Superenalotto, EuroMillions, Eurojackpot, British Lottery, baadhi ya bahatinasibu za Australia, na zaidi.

Hata kama wewe sio mshabiki mkubwa wa michezo ya bahatinasibu, ni kwanini ujibane kwenye michezo ya kununua tiketi tu kibandani wakati unaweza kutanua wigo wako na kufikia dunia nzima kwa kupitia huduma hii kabambe ya mtandaoni? Kwa mara nyingine, wanatupatia haya yote kwa malipo, lakini hawatachukua chochote kutoka kwenye zawadi za ushindi.

Malipo makubwa kupata kutokea katika historia

Hii ni orodha ya vitita vya pesa vikubwa kuwahi kushindwa ndani ya miaka michache iliyopita. Sio jambo la kushangaza kwamba vyote vimetokea nchini Marekani. Michezo ya bahatinasibu mikubwa Marekani kama Powerball na Mega Millions huwa inatoa fedha nyingi sana kila mara. Hivyo haishangazi kwamba manunuzi mengi ya tiketi mtandaoni ni ya tiketi za Powerball na Mega Millions.

  • Kitita cha milioni $ 1537, kutoka Mega Millions kilinyakuliwa na mshindi mmoja Oktoba 23, 2018
  • Kitita cha milioni $ 1000, kutoka Mega Millions kilinyakuliwa na mshindi mmoja Januari 22, 2021
  • Kitita cha milioni $ 768, kilinyakuliwa kutoka Powerball Machi 27, 2019
  • Kitita cha milioni $ 758, kilinyakuliwa kutoka Powerball na mshindi mmoja Agosti 2017
  • Kitita cha milioni $ 730, kilinyakuliwa kutoka Powerball na mshindi mmoja Januari 20,2021
  • Kitita cha milioni $ 687, kiligawanwa na washindi wawili wa Powerball Oktoba 27, 2018
  • Kitita cha milioni $ 656, kiligawanwa na washindi watatu wa Mega Millions mnamo Machi 2016

Sasa una nafasi ya kushinda zawadi kubwa katika michezo ya bahatinasibu. Jiandae kushiriki katika mambo bora duniani na muhimu zaidi, ongeza nafasi yako ya kushinda utajiri mtandaoni!

Mageuzi katika bahatinasibu

bahatinasibu za kimataifa
Kihistoria, michezo ya kwanza ya bahatinasibu inasemekana kufanyikia China, na hata miaka hiyo ya nyuma michezo hiyo ya bahatinasibu ililenga kufadhili miradi ya umma. Hata Ukuta Mkuu wa China inawezekana ukawa ni moja ya miradi hiyo. Baada ya karne kadhaa kupita, michezo ya bahatinasibu kwa sasa imepigwa marufuku na kuendeshwa na serikali ili kupata pesa.

Michezo ya bahatinasibu hivi leo

Kwa sababu intaneti imerahisisha mambo kwa wengi wetu, michezo mingi ya bahatinasibu za kimataifa zimeanza kuwezesha watu kununua tiketi mtandaoni. Lakini kununua tiketi za bahatinasibu mtandaoni kwa kupitia tovuti za michezo hiyo ya bahatinasibu ilikuwa inawezekana kwa wachezaji tu wanaotokea katika nchi inayoendesha mchezo huo. Kizuizi hicho sasa kiliondolewa na hatua ifuatayo katika mageuzi ya mchezo wa bahatinasibu.

Chaguzi nyingi zaidi za bahatinasibu zinakupa nafasi nzuri zaidi kushinda

Wazo la huduma ya mtandaoni kama hii yatu ambayo inawawezesha mashabiki wa michezo ya bahatinasibu kushiriki katika bahatinasibu zilizo nje ya nchi zao ilikuwa ni hatua iliyotegemewa kuchukuliwa katika ukuaji. Sasa wachezaji wa bahatinasibu wana uwezo wa kuchagua mchezo wa bahatinasibu mmoja kati ya mingi. Kwa kulenga mchezo wenye kitita kikubwa zaidi cha pesa kuliko yote, wanaweza kuboresha mategemeo yao ya kushinda kwa kiasi kikubwa. Kwa michezo ya bahatinasibu kama vile Mega Millions, Powerball, na Euromillions, asilimia ya tiketi zinazonunuliwa mtandaoni na wachezaji duniani kote inakua kila mwezi.