Namna Mchakato wa Kununua Tiketi za Mchezo wa bahatinasibu Mtandaoni Unavyofanya kazi.
Kitu cha kwanza kabisa ni unatakiwa kuchagua ni michezo gani ya bahatinasibu unayotaka kucheza, kutoka kwenye michezo ya bahatinasibu mingine maarufu duniani kote. Kisha chagua unataka kununua tiketi ngapi mtandaoni, na kisha unaweza kuchagua namba zako mwenyewe au ukaacha mfumo wa kuchagua namba ukakuchagulia.
Kisha, unafungua akaunti. Hivyo unaingiza taarifa zako zote binafsi, na pia unatengeneza jina la mtumiaji na neno la siri ili uweze kuwa unaingia ndani ya tovuti ya mchezo wa bahatinasibu pale utakapotaka.

Baada ya hapo unachagua njia ya malipo ya kulipia tiketi zako mtandaoni. Watu wengi hutumia kadi za credit, lakini kuna njia zingine za tofauti tofauti za malipo kama ikitokea hauna. Miamala yote ni salama na tunatumia mifumo ya kisasa ya ulinzi hivyo hautakiwi kuhofia jambo lolote lile.
Kwa kila bahatinasibu inayokuja, kunakuwa na saa inayoanza kuhesabu kushuka chini ili kukuwezesha kujua ni muda gani umebakia mpaka kuchezeshwa kwa droo, na kukusaidia kujua ni bahatinasibu ipi unataka kununua tiketi yake..
Kisha Wanakununulia Tiketi Kwa ajili Yako

Kisha, huduma hii bora tunaenda nje na kununua tiketi yako kwa ajili yako, ambayo inakuwa na jina lako juu yake, hivyo hakuna mtu mwingine anaeweza kuchukua zawadi hiyo bali wewe. Kisha wanakutumia barua pepe ya kuhakiki ikiwa na namba zako.
Matokeo ya kila michezo ya bahatinasibu yanawekwa kwenye mtandao, lakini japo ni vizuri kutazama namba zako mwenyewe binafsi, sio lazima kujisumbua kama hautaki kufanya hivyo. Kila mara utakaposhinda tu utajulishwa na mfumo wetu kwa barua pepe, hivyo hautakosa zawadi zako za ushindi.
Jaribu kuwauliza katika vibanda vya bahatinasibu vilivyo karibu na wewe kama wako tayari kufanya hivi kwa ajili yako. Watakuona umechanganyikiwa. Hii inakuonyesha wewe kuwa ni kwa namna gani ubora wetu wa huduma za tiketi ulivyo juu, na wanakupatia msaada wote utakaohitaji katika kila hatua.
Kukabidhi Ushindi Wako
Kutegemea na umeshinda kiasi gani, kuna michakato tofauti ambayo inatumika kukusanya ushindi wako. Kama kiasi ulichoshinda ni chini ya €2500, unaweza kutunza tu hela zako kwenye akaunti yako kama utataka kuzitumia kununua tiketi zaidi, au unaweza kuzituma kwako. Kama ukishinda kiasi zaidi ya hicho, utatumiwa fomu ya madai ambayo unatakiwa kuijaza na kuituma, na kisha hela yako itatumwa kwa njia ya cheki, ambayo unaweza kuiweka kwenye akaunti yako ya benki.
Kama ukishinda zawadi kubwa sana, bahatinasibu inaweza kuhitaji uweze kufika wewe binafsi kuipokea. Kama ukishinda pesa nyingi kiasi hichi, hii itakuwa ni safari ambayo tuna uhakika utaifurahia. Tiketi yako ya mchezo wa bahatinasibu mtandaoni imeshinda kitita cha pesa, na unaweza kuanza kusherekea kwa mapumziko kabisa. Punde utakaporudi, labda unaweza kuchukua likizo ya moja kwa moja na kufurahia maisha ya raha. Uamuzi utakuwa ni wa kwako!
Bonyeza hapa ili kuanza kufurahia!