Select Page

Je, wakazi wa Kenya wanawezaje kucheza Poweball mtandaoni?

Ni rahisi sana kucheza Powerball mtandaoni, hata kama upo Kenya. Ni rahisi sana.

Hakikisha unachagua bahatinasibu sahihi, iliyoandikwa Powerball. Kisha unachagua namba zako.

Pia kuna njia ambayo wachezaji wengi wanapenda kuitumia – njia ya kuchagua haraka. Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza tu kitufe cha kuchagua haraka, na tovuti itakuchagulia namba zako bila mpangilio.

Ukimaliza kuchagua namba za Powerball, unaweza kuchagua bahatinasibu nyingine, cheza tiketi za bahatinasibu zaidi na uziongeze kwenye oda yako. Utakapomaliza, bonyeza kitufe cha kukamilisha na ufanye malipo ya tiketi zako kwa usalama. Muda huu, utahitajika kutengeneza akaunti yako nasi. Lakini, unaweza kutengeneza akaunti pia mwanzoni kabisa kabla haujanunua tiketi zako.
powerball

Baada ya kutengeneza akaunti yako, usajili wako katika tovuti yetu utathibitishwa. Tutakutumia barua pepe ya uthibitisho ikiwa na link. Ni jambo la busara kuweka alama katika barua pepe yetu kuwa ni mtumaji wa kuaminika(trusted sender). Hii inahakikisha kwamba barua pepe za muhimu kama zile za kukutaarifu kuhusu ushindi zinakufikia. Hii ni moja ya faida ya kucheza Powerball mtandaoni – hautapitwa na taarifa ya ushindi kwa sababu mara zote tutakuwa tukikutaarifu.

Huduma yetu kwa kweli imeuleta mchezo wa bahatinasibu kuja katika karne ya 21, na ni jambo kubwa kabisa kupata kutokea tangu tiketi zilipoanza kuuzwa. Kama hauchukui fursa hii ya huduma ya mtandaoni, basi unakosa mambo makubwa sana katika bahatinasibu yanayokusubiri wewe tu.

Kuhusu Powerball

  • Nchi: MAREKANI
  • Wingi wa namba kuu: 69
  • Unachagua: 5
  • Wingi wa namba za ziada: 26
  • Unachagua: 1
  • Siku za droo, masaa: Jumatano, Jumamosi, 21:00 EST, +1 day 3:00 CET
  • Kitita cha pesa cha chini cha kushindaniwa: $ 40 milioni
  • Kitita cha pesa kinaishia kiasi gani: hakuna
  • Uwezekano wa kushinda kitita kikubwa cha pesa Powerball: 1 kati ya 175.223.510
  • Uwezekano wa kushinda nafasi ya 2: 1 kati ya 5.006.386
  • Uwezekano wa kushinda nafasi yoyote: 1 kati ya 24,87
  • Idadi ya zawadi za kushinda: 9

Sifa kubwa za Powerball

powerball marekani ukiwa Kenia

Haijalishi ndoto zako ni kubwa kiasi gani, bahatinasibu ya Powerball ina uwezo wa kuzitimiza zote, na zaidi. Kitita cha pesa cha kushinda kawaida kinakuwa katika mamilioni ya dola, kiasi hiki hakika ni kikubwa sana cha pesa unachoweza kushinda.

Kila wakati ambapo kunakuwa hakuna mshindi, kitita cha pesa cha kushinda kinakua, mara nyingi kwa milioni mia moja, milioni mia mbili, na hata kwa milioni mia tatu mara nyingine. Nafikiri wengi wetu watakubali hata kiwango cha chini kabisa cha dola milioni 40 kinatosha kabisa kukidhi mahitaji ya maisha yetu, lakini katika michezo ya bahatinasibu, kuwa na kiwango kikubwa zaidi, ndiyo vizuri. Hivyo kama wewe upo kama watu wengi na unapenda mambo makubwa, basi hii itakufaa.

Unahitaji kujua nini cha ziada kuhusu kucheza Powerball mtandaoni

Powerball inawapa washindi wa kitita kikubwa cha pesa njia mbili za kuwapa malipo yao ya ushindi. Unaweza kuchukua malipo yako mara moja, au unaweza kupokea kiasi kikubwa zaidi kwa kupokea malipo kidogo kidogo 30.

Namna ya kutazama matokeo ya Powerball ukiwa Kenya

Kuna namna kadhaa za kutazama namba zako za ushindi na matokeo ya Powerball ukiwa Kenya. Lakini kama umecheza powerball mtandaoni, njia rahisi zaidi ni kurudi hapa uliponunulia tiketi yako. Ndani ya akaunti yako, utaweza kulinganisha namba zako na namba za mwisho za ushindi. Pia utapata ujumbe wa barua pepe pale tiketi yako yoyote itakaposhinda chochote.

Umecheza Powerball mtandaoni na umeshinda – nini kinafuata baada ya hapo?

Huduma yetu inahisisha pia kushughulikia malipo yako. Hauhitaji kuhofia kuhusu kulipwa. Na hatukati makato yoyote katika malipo yako ya ushindi.