Select Page

Mega Millions ni moja ya michezo ya bahatinasibu bora zaidi duniani

Megamillions

Sasa unaweza kununua tiketi za bahatinasibu kutoka Mega Millions mtandaoni

Sasa ni mwisho wa kuzunguka zunguka ili uweze kununua tiketi bahatinasibu ya Mega Millions. Hii ni moja ya faida ya intaneti, unaweza kununua tiketi nyingi za bahatinasibu hii kadri unavyotaka sasa kirahisi, kutoka Kenya moja kwa moja kutoka kompyuta yako.

Sio lazima uwe unaishi Marekani tena, wakazi wa kutoka nchi zingine zote duniani ikiwemo Kenia wana uwezo wa kuikamata fursa hii kubwa kama wana umri halali kisheria. Baada ya miaka mingi kupita huku wachezaji wa michezo ya bahatinasibu wakiwa wanaishia kununua tiketi zao maeneo ya karibu tu, na kwa vile intaneti imetufungulia dunia yote, hakika ni wazo ambalo muda wake umewadia.
mega millions

Tunakupa uwezo wa kununua tiketi mtandaoni sio tu za Mega Millions bali za michezo mingine mikubwa ya bahatinasibu ulimwenguni pia. Unachotakiwa kufanya ni kufungua akaunti ya bure, chagua bahatinasibu gani unayotaka kucheza, chagua namba zako au unaweza kuiachia kompyuta ikuchagulie, lipia tiketi zako kwa kupitia njia mojawapo iliyo rahisi kwako, baada ya hapo utakuwa mchezoni.

Tunakujali katika kila hatua unayochukua

Baada ya kuwa umenunua tiketi yako ya bahatinasibu moja au zaidi ya moja unazopendelea, tunaingia kazini na kwenda kukuchukulia tiketi zako kwa niaba yako, kisha kukutunzia. Hauhitaji hata kuwa unafuatilia droo au namba ambazo zimechaguliwa, kwa sababu tunakufanyia hiyo kazi.

Namna ya kulipia tiketi yako ya Mega Millions mtandaoni

Baada ya kuwa umesajili akaunti yako kwenye tovuti yetu, unaweza aidha ukaweka pesa kidogo kwanza kwa ajili ya kufanya malipo baadae. Au unaweza kutengeneza tiketi moja au zaidi ya moja kwanza na kisha kuzilipia. Utaona njia kadhaa za kufanya malipo kutoka Kenya.

Taarifa zaidi juu ya Mega Millions

nunua mega millions mtandaoni

  • Bahatinasibu inafanyikia wapi: MAREKANI
  • Kuna namba ngapi kuu za kuchagua: 70
  • Ni lazima uchague ngapi: 5
  • Ni namba ngapi za ziada za kuchagua kutoka kwake: 25
  • Ni lazima uchague: 1
  • Siku za droo, masaa: Jumanne, Ijumaa, 21:00 EST, +1 day 3:00 CET
  • Kitita cha pesa cha chini cha kushindaniwa: $ 40 milioni
  • Kitita cha pesa cha Juu cha bahatinasibu ya Mega Millions: hakuna
  • Uwezekano wa ushindi wa mpangilio wa namba za ushindi katika bahatinasibu: 1 kati ya 175.711.536
  • Uwezekano wa mpangilio wa namba za mshindi wa 2 katika bahatinasibu: 1 kati ya 3.819.816
  • Uwezekano wa kushinda nafasi yoyote: 1 kati ya 24,12
  • Kuna ngazi ngapi za zawadi: 9

Faida ya kununua tiketi za Mega Millions mtandaoni kutoka Kenya

Mega Millions ina droo mbili kila wiki, siku za Jumanne na Ijumaa. Hivyo hivyo pia kwa Powerball, wachezaji wanachagua namba kuu 5, hata hivyo, badala ya namba 59 ambazo utachagua kwenye bahatinasibu ya Powerball, Mega Millions ina namba 56 tu.

Kuna namba ya nyongeza katika hii bahatinasibu pia, inayoitwa Mega Ball, ambapo utachagua kati ya namba 46. Kama namba zote 5 zikifanana mtiririko pamoja na ile ya Mega Ball basi utakua umeshinda zawadi ya kitita kikubwa cha pesa ambacho Mega Millions huwa wanakitoa.

Kama ilivyo kwa bahatinasibu zote, kama hakuna mshindi, basi kitita cha pesa kinazidi kukua na kukua mpaka mtu ashinde. Itakugharimu kiasi kile kile cha pesa kununua tiketi yako, lakini kwa sasa kunakuwa na pepsa nyingi zaidi ya kushinda, jambo zuri kwako.

Na hii ni sababu moja wapo inayofanya watu wengi kununua tiketi zaidi, mtandaoni kutoka Kenya na nje ya mtandao pia, wakati kitita cha pesa kinapokua kikubwa. Sababu nyingine ni kwamba, ni jambo linalosisimua kucheza bahatinasibu unayoweza kushinda kitita kikubwa cha pesa.

Je ni halali kisheria kununua tiketi za Mega Millions mtandaoni?

Ni halali kabisa kisheria kutumia huduma yetu ya tiketi ukiwa Kenya. Hakikisha tu ya kwamba una umri wa angalau miaka 18.

Ninalipwaje nikiwa Kenya kama nikishinda Mega Millions mtandaoni?

Kama ukishinda, tunatoa pia msaada katika kukusanya pesa yako. Kama ni kiasi kidogo(cha chini ya €2500), hauhitaji hata kufanya kitu chochote – tutaiweka pesa kwenye akaunti yako. Kwa zawadi kubwa, tutakusaidia kukamilisha kujaza fomu za kuchukua zawadi yako na kuweka mipango ya malipo. Na kwa zawadi kubwa zaidi (tukimaanisha kitita kikubwa cha pesa), unaweza kuamua kufunga safari kuja kuchukua hayo mamilioni, na tuna uhakika hautakuwa na tatizo lolote kufunga safari. Lakini kama hautataka kusafiri, hakuna shida. Tunaweza kuweka mipango ya kukuhamishia kwa kupitia benki au kukufanyia malipo kwa mfumo wa cheki kutoka kwa uongozi wa bahatinasibu pia.

Je, utakuwa mshindi wa Mega Millions?

Kama haujawahi kucheza Mega Millions kabla, je ni nani anajua ni kiasi gani cha pesa ungekuwa umekipata kama ungekua ukicheza hapo nyuma? Muda wa kuwaza hayo sasa umekwisha. Ni wakati wako sasa na kwa namna ilivyo rahisi sasa kununua tiketi mtandaoni, ndiyo sababu watu wengi wanatamani kucheza.

daraja mechi
X
+
X
Prize Chance to win
Prize #1I mechi
X
+
X
:
5 + 1
Prize : Jackpot Chance to win : 1 in 302,575,350
Prize #2II mechi
X
+
X
:
5 + 0
Prize : $1,000,000 Chance to win : 1 in 12,607,306
Prize #3III mechi
X
+
X
:
4 + 1
Prize : $10,000 Chance to win : 1 in 931,001
Prize #4IV mechi
X
+
X
:
4 + 0
Prize : $500 Chance to win : 1 in 38,792
Prize #5V mechi
X
+
X
:
3 + 1
Prize : $200 Chance to win : 1 in 14,547
Prize #6VI mechi
X
+
X
:
3 + 0
Prize : $10 Chance to win : 1 in 606
Prize #7VII mechi
X
+
X
:
2 + 1
Prize : $10 Chance to win : 1 in 693
Prize #8VIII mechi
X
+
X
:
1 + 1
Prize : $4 Chance to win : 1 in 89
Prize #9IX mechi
X
+
X
:
0 + 1
Prize : $2 Chance to win : 1 in 37
Overall chances of winning any 1 in 24.12