Select Page

Je ninaweza kushiriki ndani ya Eurojackpot mtandaoni?

Kama, kwa sababu yoyote, hauwezi kununua tiketi za Eurojackpot katika maduka yaliyo karibu na wewe, basi bado una njia ya kucheza Eurojackpot mtandaoni.
Eurojackpot

Unachotakiwa tu kufanya ni kubonyeza hapa ili kupata tovuti ya RedFoxLotto. RedFoxLotto ni huduma ya mtandaoni itakayokuwezesha kushiriki kwenye michezo ya bahatinasibu 20 mikubwa duniani, bila kujalisha unatokea wapi.

Hili linawezeshwa na mfumo wa wafanyakazi wanaofanyia kazi kampuni hii, ambao wananunua tiketi za mchezo wa bahatinasibu ambazo zimeagizwa na wateja wake mtandaoni. Tiketi zilizoagizwa zinaweza kulipiwa na kadi za credit (kuna njia mbalimbali pia za malipo) na muda mfupi baadae, mteja anapokea barua pepe ya kuhakiki, ambayo inakuwa halali kwa ajili ya droo inayofuata kwenye mchezo wa bahatinasibu husika.
Eurojackpot mtandaoni

Kushiriki kwenye Eurojackpot pamoja na michezo ya bahatinasibu mingine zaidi ya 20 mtandaoni ni halali kisheria, na baada ya kununua tiketi, unahaki ya kudai zawadi kutoka kwenye mchezo wa bahatinasibu husika. Zawadi ndogo mpaka kufikia €2500 zitawekwa moja kwa moja hapohapo kwenye akaunti yako ya RedFoxLotto, kwa zawadi kubwa sana inaweza kuchukua siku chache, kwa sababu RedFoxLotto itafanya mchakato wa kutoa zawadi kwa ajili yako (bila gharama yoyote) kwa kuwasiliana na mchezo wa bahatinasibu husika eneo hilo.

Kiasi cha kitita cha pesa kinaweza kuonekana upande wa kulia (au chini ya maandishi haya, kama unasoma kupitia simu yako).

Je Eurojackpot inafanyaje kazi?

Mchezo huu wa bahatinasibu unatolewa na baadhi ya nchi za Ulaya (Ujerumani, Hispania, Italia, Netherland, Estonia, Finland, Denmark, Iceland, Croatia, Hungary, Latvia, Lithuania, Norway, Poland, Sweden, Slovakia, Slovenia, Czech Republic). Kama hauishi au kukaa katika moja ya nchi hizi, unaweza kushiriki Eurojackpot kupitia huduma hii ya mtandaoni pekee.

Kitita cha pesa siku zote kitaanzia na euro milioni 10. Mchezaji ana nafasi ya kuchagua kati ya namba kuu 50, ambazo atachagua 5. Kutakuwa pia na namba 2 za nyongeza za kuchagua (kati ya 1 na 10). Kitita cha pesa kitatolewa pale mchezaji akiwa na namba 5 + 2 sahihi. Kama kitita cha pesa kikizidi kiasi cha euro milioni 90, basi kinachozidi kinapelekwa kwenye ngazi ya 2. Hii inaongeza kiasi cha pesa ambacho unaweza kushinda ukiwa na namba 5 sahihi na namba moja ya ziada. Kitita cha pesa cha euro milioni 90 kitaendelea kubaki katika mchezo mpaka kitakapopata mshindi.

Kipindi cha nyuma, kitita cha pesa kimekuwa kikipewa kwa mshindi mmoja mara nyingi, kugawana kitita cha pesa kati ya wachezaji zaidi ya mmoja ni nadra sana kutokea.

Uwezekano kimahesabu wa kushinda kitita cha pesa hiki ni 1:95 milioni – namba kubwa, lakini nafasi hizo bado ni nzuri zaidi ya iliyopo kwenye michezo ya bahatinasibu mikubwa ya Marekani kama vile Powerball na Megamillions.

Jipatie tiketi yako ya Eurojackpot sasa na ushiriki katika michezo ya bahatinasibu mikubwa kuliko yote duniani – labda kitita cha pesa cha sasa hivi katika Eurojackpot kinakusubiria wewe!