Select Page

Mega Millions mtandaoni

Kuhusu Mega Millions

Hii inawezekana ikawa ni bahatinasibu maharufu zaidi duniani. Kuwapa mashabiki wa bahatinasibu kutoka Kenya fursa ya kucheza Mega Millions mtandaoni kunasaidia wachezaji kuweza kutimiza ndoto zao. Kama unaishi Kenia, bado unaweza kucheza Mega Millions kwa kutumia tiketi za mtandaoni. Huduma yetu ni halali na tunakupa nafasi ya kushiriki katika bahatinasibu kubwa kutoka Marekani.
mega millions

  • Nchi: MAREKANI
  • Wingi wa namba kuu: 70
  • Unatakiwa kuchagua: 5
  • Wingi wa namba za ziada: 25
  • Unatakiwa kuchagua: 1
  • Siku za droo, masaa: Jumanne, Ijumaa, 21:00 EST, +1 day 3:00 CET
  • Kitita cha pesa cha Mega Millions kinaanzia: $ 40 milioni
  • Kitita cha pesa cha Mega Millions kinaishia kiasi gani: hakuna
  • Nafasi ya kushinda kitita cha pesa: 1 kati ya 175711536
  • Nafasi ya kushinda zawadi ya pili: 1 kati ya 3819816
  • Nafasi ya kushinda zawadi yoyote: 1 kati ya 24,12
  • Idadi ya zawadi za kuchaguliwa: 9

Sifa kubwa za Mega Millions

cheza mega millions mtandaoni
Kivutio kikubwa cha Mega Millions ni, ukubwa wa kitita cha pesa. Kitita cha pesa cha Mega Millions hakiwezi kuwa chini ya $40 milioni. Kila muda mtu akishinda kitita cha pesa, inaanza nyingine mpya katika kiasi hiki hiki cha $40 milioni. Sababu droo mbili zinafanyika kila wiki, kitita cha pesa cha Mega Millions kinakua kwa kasi sana. Ndani ya Marekani, mamilioni ya watu wanacheza Mega Millions kila wiki, na watu wengi kutoka nchi zingine kama Kenya wanacheza Mega Millions mtandaoni pia.

Hivyo ni kawaida kwa kitita cha pesa cha Mega Millions kukua kwa $10 milioni baada ya kila droo (labda kama mtu akishinda). Hiyo inamaanisha karibu $20 milioni kila wiki kwa sababu kuna droo mbili kila wiki.

Baada ya kitita cha pesa kukua zaidi ya $100 milioni, tiketi nyingi zaidi zinauzwa katika maduka ya bahatinasibu na pia kwa wachezaji mtandaoni. Nyakati nyingi tu kiasi cha pesa kimefika $400 milioni na zaidi. Na kuanzia hapo, kuongezeka kwa kiasi cha $100 milioni kwa wiki ni kawaida, kwa sababu ya ongezeko kubwa la mauzo ya tiketi. Rekodi iliyopo kwa sasa ya kitita cha pesa kutolewa ni $1500 milioni (ndiyo, $1,5 bilioni!).

Namna ya kutazama matokeo ya Mega Millions

mega millions Kenia

Kama unaishi Kenya, au katika nchi nyingine yoyote nje ya Marekani, basi kuna uwezekano mkubwa hautaweza kusikia namba za ushindi zikitangazwa katika chaneli zenu za ndani za redio au tv. Unaweza kutembelea tovuti ya Mega Millions, lakini kuna njia moja rahisi zaidi kwa ajili yako. Rudi tu katika tovuti yetu na utazame ukurasa wetu wa matokeo. Tunatoa matokeo ya michezo yote ya bahatinasibu hapa.

Pia tunatuma barua pepe iliyo na taarifa ya ushindi – kama ulicheza mtandaoni na una tiketi ya Mega Millions kwenye akaunti yako.

Pia, unaweza kuhakiki matokeo yako ya bahatinasibu katika akaunti yako ya mchezaji. Punde tu baada ya kucheza Mega Millions mtandaoni katika tovuti yetu, tiketi yako au tiketi zako ulizocheza zinahifadhiwa ndani ya akaunti yako. Na baada ya droo unaweza kurudi na kufananisha tiketi yako ya Mega Millions na namba za ushindi zilizotolewa.

Umecheza Mega Millions mtandaoni na umeshinda – nini kinafuata baada ya hapo?

Kama umeshinda kiasi kikubwa cha pesa, wafanyakazi katika timu yetu watakutumia ujumbe wenye maelekezo ya utaratibu wa kufuata. Kisha, utahitajika kukamilisha fomu tutakayokupa sisi. Timu yetu itatuma fomu yako kwenye tume ya bahatinasibu. Fomu pia itakuwa na taarifa zako za benki na anuani yako ya Kenya (au popote unapoishi), na njia ya malipo ambayo umeipenda pia itakuwa imesemwa na wewe katika fomu hiyo. Ndani ya siku chache, utapata pesa yako kwa njia ya malipo uliyoichagua.

Na kama ukishinda kiasi kidogo cha pesa (mpaka to €2500), malipo yatalipwa katika akaunti yako ya mchezo mara moja – unachotakiwa kufanya ni kutazama salio lako tu. Kisha utafanya maamuzi kama kuiacha na kuitumia kucheza bahatinasibu zingine zaidi (au hata Mega Millions) mtandaoni, au unaweza kuanzisha mchakato wa kuzitoa.