Select Page

Bahatinasibu ya El Gordo Mtandaoni

Mchezo wa Bahatinasibu Mkubwa wa Hispania Sasa Unapatikana kwa Wote Sisi

Kama unaishi Hispania basi sina haja ya kukwambia msisimko uliopo kwenye El Gorgo. Hata hivyo, wachezaji wa mchezo wa bahatinasibu huu hawaishi huko, na wengi hawajawahi hata kusikia mchezo wa bahatinasibu huu mkubwa kiliko yote Hispania. Mpaka hivi karibuni haikujalisha kwa sababu usingeweza kucheza hata hivyo kwa sababu tiketi zilikuwa zinauzwa Hispania pekee.
el gordo la primitiva

Kwa miujiza ya intaneti, siku hizi, zaidi ya wachezaji 150,000 kutoka nchi zaidi ya 140 wanafurahia kucheza El Gordo. Jambo unalotakiwa kulifanya ili kununua tiketi zako sasa ni kujua wapi unaweza kuzinunulia mtandaoni. Na hapo ndipo tuko hapa kukusaidia.

Kuna huduma mpya kubwa inayoitwa RedFoxLotto ambapo unaweza sio tu kununua tiketi za bahatinasibu ya El Gordo mtandaoni, bali unaweza pia kununua tiketi mtandaoni za michezo ya bahatinasibu mingine mikubwa kuliko yote duniani. Wanakurahisishia sana, kwa dakika chache tu unaweza kuchukua tiketi nyingi kadri uwezavyo za droo inayofuata, na nyongeza unaweza kuchukua za mchezo wa bahatinasibu mwingine mkubwa utakaotaka.

Hivyo kupitia huduma hii ya mtandaoni, msisimko wa kucheza mchezo wa bahatinasibu huu umekuwa mara dufu. Chukua namna unavyofurahia kucheza mchezo wa bahatinasibu kwa sasa kisha zidisha hiyo mara kumi au mara ishirini, na ufikirie hiyo inakuwa ni kwa kiasi gani. Basi, jisajiri tu na RedFoxLotto hapa na ujiandae kutimiza hayo.

El Gordo Inamaanisha Ni Kubwa

Vitita vya pesa vya El Gordo ni vikubwa mno, jambo ambalo wachezaji wa mchezo wa bahatinasibu huu wanalipenda. Umepitwa na wakati muda ambao ulitakiwa kusubiri kwa muda mrefu, ukitegemea mchezo wa bahatinasibu unaoupenda ungekuwa na kukua mpaka kufikisha kiasi kikubwa mpaka watu wengi waanze kugombania tiketi.

Sasa, kuna michezo ya bahatinasibu mingi duniani kote ambayo inaanza na vitita vya pesa vikubwa na kuzidi kuwa vikubwa zaidi na zaidi. Mchezo wa bahatinasibu huu hakika ni mmoja wapo kati ya hiyo. Kwa mfano, muda huu ninapoandika hivi kuna kitita cha pesa cha Euro milioni 23.

Nyongeza, kama unapenda vitita vikubwa vya pesa kama hivi, ambapo ninahisi wote tunapenda, RedFoxLotto wana vingine vingi zaidi, na vingine vikiwa ni vikubwa zaidi. Hata hivyo, sio suala tu la kucheza sehemu muja, tunataka kucheza tofauti tofauti kama huu, na El Gordo hakika ni mmoja wapo unaostahili kucheza.

Namna Bahatinasibu Hii Inavyofanya Kazi

Mchezo El Gordo mtandaoni

Kuna jumla ya vipengele 9 tofauti vya zawadi kwenye El Gordo. Hivyo japokuwa wote tunataka kushinda vitita vya pesa vikubwa, ni vizuri sana pale unaposhinda zawadi ya kiasi chochote, na mchezo wa bahatinasibu huu maarufu Hispania unakupa nafasi nzuri ya kufanikiwa hili zaidi ya michezo ya bahatinasibu mingine.

Japokuwa, tofauti na baadhi ya nchi zingine, pesa za ushindi wa mchezo wa bahatinasibu ndani ya Hispania hazina makato ya kodi. Unaweza kuchagua kutangaza au kutotangaza ushindi wako kwa kwa serikali, kutegemea na wapi unapoishi, lakini sehemu zingine zinakata kodi kwenye ushindi wa mchezo wa bahatinasibu japokuwa ushindi wenyewe ulitolewa bila kodi nchini kwako. Japo kuwa unaweza kuirudisha hiyo pesa, ila ni usumbufu ambao hautakiwa kuuwaza ukiwa na El Gordo.

Japokuwa, hata ndani ya nchi ambazo zinafanya hivi, pale utakaposhinda kitita cha pesa kikubwa, pesa utakayoipokea iwe imekatwa au haijakatwa kodi hakika itakukidhi kwa muda mrefu sana, hivyo jambo hili lisitusumbue sana. Pia usisumbuke kuwaza kufunga safari kwenda Hispania kuchukua mamilioni yako ya pesa. Tunahisi utafunga safari nyingi sana zaidi na inawezekana ukaanza fani mpya ya kuishi kwenye ndege ukifanya safari hii.

Kwanini Ukose El Gordo Kwasababu Sio Lazima Kukosa Sasa

Kwa miaka mingi, umekuwa na sababu nyingi za kutocheza bahatinasibu ya El Gordo kama ulikuwa hauishi Hispania. Hili kwa sasa sio jambo lililopo tena. Nani anaejua ni kiasi gani cha pesa ambacho ungekuwa umeshinda kama ungekuwa unacheza hii michezo ya bahatinasibu na mingine mikubwa duniani muda wote huo?

Basi usiwaze tena kuhusu hili sasa, maana RedFoxLotto sasa inakuletea El Gordo nyumbani kwako, mpaka hapo ulipokaa sasa. Najua unapenda kucheza mchezo wa bahatinasibu vinginevyo usingekuwa unasoma hapa. Kwanini usijinunulie tiketi ya mchezo wa bahatinasibu sasa? Wakati ukiendelea, kwanini usitazame kila kitu ambacho RedFoxLotto wanakupa? Bonyeza hapa na uweze kukutana na uwezekano mpya duniani.