Select Page

Jipatie tiketi yako ya bahatinasibu ya Euromillions

Euromillions

Euromillions Ni Moja Kati Ya Michezo ya Bahatinasibu Mikubwa Duniani

Euromillions ilianza 2004 kama jitihada za ushirika kati ya waendeshaji wa mchezo wa bahatinasibu wa taifa nchini Ufaransa, Hispania na U.K. Ilichukua miaka takribani kumi kuweza kufikia makubaliano kati ya nchi hizi, hivyo ilipoanza, ilikuwa imepangwa vizuri sana, na iko hivyo mpaka leo.
euromillions
Mpango ulikuwa ni kuwapa wachezaji wa mchazo wa bahatinasibu ndani ya nchi hizi tatu uwezo wa kucheza vitita vikubwa vya pesa zaidi ya vile vilivyokuwepo kabla ya hapo. Kwa sababu vitita vikubwa vya pesa ndivyo vinavyowapa watu msisimko hapa, matarajio yalikuwa ni kwamba bahatinasibu hii ingekuwa jambo kubwa na ingetoa vitita vya pesa vikubwa wiki baada ya wiki. Na hili ndio lililoishia kutokea.

Kadri mafanikio ya mchezo wa bahatinasibu huu yalivyozidi kukua, nchi nyingi zaidi ziliongezwa katika ushirika, na leo kuna jumla ya nchi tisa tofauti ambazo zinashiriki ndani yake. Vitita vya pesa vilivyopo siku zote ni vikubwa kuliko vyote vinavyopatikana popote duniani, kuanzia Euro milioni 15 na kuendelea kuongezeka zaidi ya hapo.

Kuna kipindi kitita cha pesa kilifikia Euro milioni 190, na nyongeza kadhaa zimekuwa zikiongezwa kwenye zawadi zingine. Waandaaji wa mchezo wa kubahatisha wanaona kitita cha pesa hiki ni kikubwa cha kutosha, na hakika ni pesa nyingi sana ya kututosha sote. Wanawaza ya kwamba mpaka kufikia sasa tayari wameshajenga msisimko wa kutosha juu ya kitita cha pesa hiki na wanachotaka kufanya ni kufanya hivyo pia kwa zawadi zingine.

Sio Lazima Uwe Unaishi Katika Hizi Ili Kucheza

Kwa sababu Euromillions katika historia imekuwa ikipatikana katika nchi tisa zilizochaguliwa Ulaya, wengi wetu tumeachwa nje kwenye baridi katika kuweza kununua tiketi za bahatinasibu ya Euromillions. Na zaidi, kucheza mchezo wa bahatinasibu huu halikuwa hata jambo la kufikirika kwetu wengine, mpaka hivi karibuni.

Wachezaji mashuhuri wa mchezo wa bahatinasibu, wale wachache ambao tunajua, tumegundua ya kwamba kizuizi hiki cha michezo ya bahatinasibu duniani sasa hakipo tena. Bado vipo kwa jicho lingine, kwa sababu ni lazima uende binafsi kununua tiketi yako ya mchezo wa bahatinasibu wa Euromillions na michezo ya bahatinasibu mingine duniani kote. Ni wazi, hauwezi kusafiri huko mara mbili kwa wiki ili kuweza kununua tiketi zako, kwa sababu hili lingechukua kiasi kikubwa sana cha pesa na muda.

Unaweza kumuajiri mtu ambae anaishi katika nchi hizo ambazo unataka kununua tiketi za mchezo wa bahatinasibu, lakini hilo linahitaji ujuzi na juhudi kubwa zaidi ya ule ambao mtu wa kawaida atataka kutoa. Kwa hiyo unawezaje kununua tiketi za Euromillions?

Jibu rahisi ni kununua tu tiketi za Euromillions mtandaoni, kutoka nyumbani kwako, na uachie huduma ya iliyobobea na ya kuaminika ishughulikie mahitaji yako yote, ikiwemo kununua tiketi kwa jina lako, kukutumia kwenye barua pepe nakala ya picha yake, kutunza tiketi zako, kutazama namba na kukujulisha kama ukishinda, kukusaidia kukusanya zawadi zako.

Huduma hii mpya inaitwa RedFoxLotto, na ndoto ya watu kuwa na uwezo wa kununa tiketi zao za mchezo wa bahatinasibu mtandaoni na kila kitu kushughulikiwa sasa imetimia. Sio tu kwamba unaweza kununua tiketi zako za Euromillions unazozitaka, lakini pia unapewa uwezo wa kununua tiketi kwenye droo za mchezo wa bahatinasibu mkubwa kuliko yote duniani.

Bonyeza hapa kutembelea tovuti yao na kupata tiketi yako ya Euromillions sasa!

Namna Bahatinasibu ya Euromillions Inavyofanya Kazi

nunua tikiti za Euro

Kuna jumla ya malipo ya zawadi tofauti 13 katika bahatinasibu hii, kwanzia na kufananisha namba mbili tu kati ya 5 za muhimu, mpaka kufananisha zote 5 kujumlisha na namba nyota za bahati na kushinda kitita cha pesa kilichowekwa. Tofauti na kiasi cha kitita cha pesa kikubwa, Euromillions pia inawapa wachezaji wake nafasi kubwa ya kushinda malipo ya aina fulani ambayo huwa unayaona katika michezo ya bahatinasibu mikubwa.

Droo zinafanyika mara mbili kwa wiki, kila Jumanne na Ijumaa, saa 3 usiku muda wa U.K. RedFoxLotto inaonyesha muda unaopungua katika tovuti zao zenye michezo ya bahatinasibu ili wachezaji mara zote wajue ni muda kiasi gani umebaki mpaka droo inayofuata. Wachezaji wanachagua namba 5 kati ya 1 mpaka 50, pamoja na namba 2 nyota za bahati kati ya 1 mpaka 11. Kama vile kwenye vibanda vya bahatinasibu, RedFoxLotto inawapa wachezaji nafasi ya kuchagua namba zao wenyewe au kuiachia kompyuta ichague namba bila mpangilio.

Unaweza kununua tiketi nyingi kadri unavyoweza kwenye kila droo. Kisha, unaweza kutembelea tovuti ya RedFoxLotto kutazama tiketi zako, au kama ukitaka, unaweza tu kusubiri barua pepe RedFoxLotto watakayokutumia kama ukishinda. Kutegemea na kiasi gani utakachoshinda, watakushauri na kukusaidia kukichukua.

Sasa Ukiwa Unajua, Sasa Una Nguvu

Hatufungiwi nje tena kwenye michezo mikubwa kama vile Euromillions kwa kigezo tu cha wapi unaishi. Sasa tunaweza kununua tiketi za mchezo wa bahatinasibu wowote tunaotaka, na hakuna wa kutuzuia. Intaneti kweli imefungua mambo duniani, na sasa imefungua michezo ya bahatinasibu. Muda wa kusubiri sasa umeisha.

Kwahiyo kutazama msisimko mkubwa juu ya mchezo wa bahatinasibu sasa uliopo, hakuna sababu yoyote nzuri ya kujinyima furaha hii ambayo ipo mbele yetu.

daraja mechi
X
+
X
Prize Chance to Win
Prize #1I mechi
X
+
X
:
5 + 2
Prize : 43.20% shared (or 27.00%)
Jackpot
Chance to Win : 1 in 139,838,160
Prize #2II mechi
X
+
X
:
5 + 1
Prize : 3.95% shared
Estimated: €303,798
Chance to Win : 1 in 6,991,908
Prize #3III mechi
X
+
X
:
5 + 0
Prize : 0.92% shared
Estimated: €31,448
Chance to Win : 1 in 3,107,514.7
Prize #4IV mechi
X
+
X
:
4 + 2
Prize : 0.45% shared
Estimated: €3,076
Chance to Win : 1 in 621,502.9
Prize #5V mechi
X
+
X
:
4 + 1
Prize : 0.48% shared
Estimated: €164
Chance to Win : 1 in 31,075.2
Prize #6VI mechi
X
+
X
:
3 + 2
Prize : 0.67% shared
Estimated: €102
Chance to Win : 1 in 14,125.1
Prize #7VII mechi
X
+
X
:
4 + 0
Prize : 0.38% shared
Estimated: €59
Chance to Win : 1 in 13,811.2
Prize #8VIII mechi
X
+
X
:
2 + 2
Prize : 1.75% shared
Estimated: €19
Chance to Win : 1 in 985.5
Prize #9IX mechi
X
+
X
:
3 + 1
Prize : 1.85% shared
Estimated: €14
Chance to Win : 1 in 706.3
Prize #10X mechi
X
+
X
:
3 + 0
Prize : 3.50% shared
Estimated: €12
Chance to Win : 1 in 313.9
Prize #11XI mechi
X
+
X
:
1 + 2
Prize : 4.95% shared
Estimated: €10
Chance to Win : 1 in 187.7
Prize #12XII mechi
X
+
X
:
2 + 1
Prize : 14.85% shared
Estimated: €8
Chance to Win : 1 in 49.3
Prize #13XIII mechi
X
+
X
:
2 + 0
Prize : 18.25% shared
Estimated: €4
Chance to Win : 1 in 21.9
Nafasi ya jumla ya kushinda tuzo yoyote 1 in 12.98